wewe
ni dereva wa basi la abiria ama gari binafsi ?hebu chukua hatua
ya kupunguza ajali leo kwa kujihadhari na kona hizi na Iyovi na
Kitonga na kona nyingine kali kama hizi nchini kwani maisha yako ni
dhamani kubwa na uhai wake bado tunautamani
Katika kona kama hizi zingatia alama za usalama barabarani usiwe na haraka ya kulipita gari la mbele
Kulipita gari la mbele katika kona kama hizi ni kutafuta ajali
Hapa
ni eneo ambalo watu 19 walipoteza maisha kwa fuso kugongana na basi
na Nganga na kisha kuwaka moto uzembe ukiwa ni wa dereva wa basi
aliyetaka kulipita gari la mbele katika kona kali
Usilipite gari katika kona
Alama zote za barabarani ni msaada kwa maisha yako lazima uziheshimu
Kona zote ni hatari kwa usalama wako hivyo usihame saiti yako ili kukimbia ajali
Lazima unapotaka kulipita gari la mbele uwe una uwezo wa kuona mbali zaidi ya mita 100 ama zaidi
Dereva makini halipiti gari la mbele katika kona
hongera bro napenda habari zako
JibuFuta