Mbunge wa
jimbo la Ludewa anafunga kampeni ya chaguzi za Serikali za mitaa wilayani hapa
kwa kishindo muda huu katika viwanja vya soko kuu la wilaya ya Ludewa huku
wananchi wakiwa wamefulika kumsikiliza anavyowanadi wagombea wa chama cha
mapinduzi mchana huu.
Endelea
kufuatilia mtandao huu kwa habari zaidi ambapo mwandishi wetu anaendelea
kutujuza kinachoendelea.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni