Na Emanuel Madafa,mbeya
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mbeya kikiendelea kupata ushindi
katika matokeo ya awali katika uchaguzi wa serikali za mitaa huku vyama
vya upinzani vikifuata kwa mbali
Kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliyotelewa na Katibu wa CCM Mkoa wa
Mbeya, Mwangi Kundya, yanaonesha kuwa, chama hicho kimefanikiwa kuzoa
idadi kubwa ya vijiji hadi sasa.
Akitangaza matokeo hayo mbele ya waandishi wa habariKundya amesema
matokeo ya awali katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya lenye mitaa 181,
CCM imefanikiwa kupata mitaa 106, Chadema71, NCCR-Mageuzi mmoja.
Wilaya ya Chunya yenye Vijiji 86,ambapo vijiji vilivyokamilisha hesabu
ni 74, CCM ilipata vijiji 67 , Chadema vijiji 7, wakati kwa upande wa
vitongoji, CCM ilipata vitongoji 270, huku Chadema ikiambulia vitongoji
18.
Wilaya ya Ileje jumla ya vijiji vyote ni 71 ambapo vijiji 32
vimekamilisha matokeo yake, ambapo CCM imepata vijiji 23, Chadema vijiji
9, ambapo kwa upande wa vitongo….
Wilaya ya Kyela vijiji vyote 93 vimekamilisha matokeo yake, ambapo CCM
imepata 79,Chadema 13 , huku uchaguzi wa kijiji kimoja kurudiwa ambapo
kwa upande wa vitongoji 469, CCM vitongoji 377, Chadema 88, wakati
vitongoji vine uchaguzi kurudiwa.
Wilaya ya Mbarali jumla ya vijiji 102, CCM 81,Chadema 16 ambapo vijiji
sita vitafanya uchaguzi wa marudio, ambapo kwa upande wa vitongoji jumla
ni 713, ambapo CCM imeshinda vitongoji 570 , Chadema ikiambulia 79 na
vitongoji 36 matokeo yake yalikuwa bado.
Wilaya ya Mbozi, vijiji vilivyopo ni 125 ambapo kati ya hivyo 92 matokeo
yake yalikuwa tayari ambapo CCM imepata viti 84 na Chadema imepata
vijiji nane, huku vijiji 33 matokeo yalikuwa bado, kwa upande wa
vitongoji 664, CCM imepata 557 na Chadema 110, CUF viwili,TLP ikiambulia
kiti kimoja.
Wilaya Rungwe jumla ya vijiji 155 , CCM imepata 132,Chadema 22, CUF
kimoja na vijiji vitano kufanya marudio, wakati upande wa vitongoji
vilivyopo ni 694,CCM 578,Chadema 111,CUF 2 na TLP viwili.
Wilaya ya Momba ambayo matokeo yake yamegawanywa katika sehemu mbili
kutokana na wilaya kuwa na Halmashauri ya mji wa Tunduma.
Ambapo kwa upande wa vijiji jumla ni 72, CCM imepata vijiji 43,Chadema24
na vijiji vitano kufanyiwa marudio, wakati kwa upande wa vitongoji,
jumla ni vitongoji 302, CCM 189, Chadema 53 na vitongoji 60 matokeo yake
bado.
Kwa upande wa mitaa katika Halmashauri ya mji wa Tunduma jumla ya mitaa
ni 71, CCM imechukua mitaa 25, wakati Chadema imeongoza kwa kupata mitaa
46, hivyo kulazimika kuunda Halmashauri ya mji.
Wakati matokeo ya Wilaya hizo yakipatikana katika mkoa wa Mbeya kwa
upande wa Wilaya ya Mbeya Vijijini matokeo ya awali yameshindwa kutolewa
kutokana na utata wa hesabu, lakini pia Jografia ya wilaya hiyo kuwa na
changamoto ya mpangilio wake.
Hata hivyo, habari za uhakika zinadai kuwa katika uchaguzi wa mamlaka ya
mji Mbalizi, CCM imepata vitongoji viwili, huku chadema ikipata
vitongoji 10 kati ya 12 hivyo kuwa na uhakika wa kuunda baraza la
mamlaka ya mji.
Your Online Store Builder : h

Your Online Store Builder : http://bit.ly/123sell

CCM YAPETA UCHAGUZI
SERIKALI ZA MITAA MBEYA

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni