Ijumaa, 5 Desemba 2014

MBOWE AWANADI WAGOMBEA WA SERIKALI ZA MITAA KUPITIA UKAWA KATIKA KATA YA VIJIBWENI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe  akihutubia katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika katika viwanja Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)

 Umati wa watu wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia UKAWA katika Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Mbowe akiwanadi wagombea

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa