Jumanne, 16 Desemba 2014

HEKA HEKA SERIKALI ZA MITAA KAHAMA CHADEMA YAWEKEWA PINGAMIZI MTAA WA IGOMELO

 Hii ndiyo nyumba ambayo mgombea nafasi ya mwenyekiti  wa mtaa  wa 
igomelo Augustino mabula ajambo ambola mgombea wa ccm Ramadhani Morisi amepiga ya kuwa siyo mkazi wa eneo hilo .  Baadhi ya wajumbe wa vyama vya ccm na chadema wakiwa eneo la makazi ya mgombea nafasi ya serikali za mtaa wa igomela. Mwenye kuonyesha mkono moja ya mkazi wa maeneo hayo akijalibu kuonyesha hali hali ya wajumbe wa vya hivyo ukweli wa jambo hilo. Mtendaji wa kata ya Malunga Cosmas Bukango alionyesha mkono juu ya hali ya eneo hilo toka kwa wajumbe mbalimbali  kuhusu eneo hilo . Mwenye kibagalashia ni mgombe wa ccm wa mtaa wa igomelo kata ya malunga Ramadhani Morisi huku mtendaji wa kata hiyo ambaye mikono yake amekuja akimsikiliza kwa makini mgombea huyo ambapo mgombe wa ccm pia ni jirani yake kwa upande wa nyuma ya nyumba hiyo . Baadhi ya wajumbe wa vyama vya ccm na chadema na wanachi wa eneo hilo .

 Baadhi ya wajumbe wa ccm na chadema wakiwa katika ofisi ya mtendaji wa kata ya malunga .
k Mwenye kilemba kichwani ni mke wa mgombea nafasi ya mwenyekiti wa mtaa wa igomelo akionyesha eneo lake ambalo amesema kuwa naishi hapo jambo ambalo kimazingira tu kunaonyesha eneo hili hakai mtu hapa kama jinsi linavyonekana Mwenyekiti wa ccm tawi la malunga mwenye jaketi la kijani wakiwa eneo hilo lenye mgongoro kwa mgombea wa chadema Augustino mabula wakitoka kwa baadhi ya wakazi wa eneo hilo kwa kupata ukweli wa jambo hilo .



 Hii ndiyo kijana akiweka milango na madirisha na kuonyesha kuwa mgombea wa chadema hapa ndipo anakoishi jambo ambalo siyo sahihi.
Picha kwa hisani ya Mohab Matukio
Vijimambo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa