Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na
Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu
Waziri wake, Dr. Charles Tizeba (kulia) kukagua baadhi ya mabehewa
mapya ya Shirika la Reli nchini (TRL) yaliyonunuliwa na kwa fedha za
serikali wakati alipokwenda kwenye bandari ya Dar es salaam Desemba
8,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa
Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe wakikagyua moja ya mabehewa mapya ya
TRL yaliyonunuliwa kwa fedha ya serikali wakati alipokwenda kwenye
Bandari ya Dar es salaam Desemba 8, 2014 kupokea mabehewa hayo. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni