Jumanne, 9 Desemba 2014

MUNGU MKUBWA! ALIYEZAMISHWA SULULU KICHWANI APONA, AFUNGUKA MAZITO!




HAKUNA neno jingine la kutumia zaidi ya kusema; KWELI MUNGU MKUBWA! Ni miezi mitano sasa imekatika
tangu kusambaa kwa picha mitandaoni zilizomwonesha mwanaume mmoja akiwa ameshindiliwa sululu kichwani hukukisa kikiwa hakijulikani. 

 
Bw. Oka Kaombe akisimulia mkasa uliomkuta bara baada ya kupona majerahaya sululu iliyozamishwa kichwani mwake. Mbali na mitandao ya kijamii, Gazeti la Risasi Jumamosi nalo lilijitoa kufuatilia tukio hilo na kuandika habari katika toleo lake la Julai 26, mwaka huu ikiwa na kichwa cha habari;
TUKIO LA KUTISHA. YALIKUWA MANENOMANENO Baadhi ya mitandao iliandika kuwa, jamaa huyo apigwa sululu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu gesti, mingine ikasema hapana, alipigwa sululu katika kugombea madini machimboni, wengine wakasema kwanza tukio lile halikuwa Tanzania. 
SASA MAMBO HADHARANI
 
Oka Kaombe kabla ya kufanyiwa upasuaji. “Hii sululu kule machimbo ni maarufu kwa jina la Moko, hutumika kuchimbia madini katika migodi.
Nilichukuliwa na sululu yangu kichwani na kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza kwa ajili ya matibabu ya haraka.” SIKU NNE BILA FAHAMU Oka anazidi kusimulia: “Mengine ninayosimulia niliambiwa kwani nilipoteza fahamu kwa siku nne. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa