FUMANIZI NOMAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!
OFM
ikiwa kazini, ilipokea malalamiko kutoka kwa Nicholaus aliyedai kwamba
amekuwa akiumizwa na taarifa kwamba kila ikifika saa 2: 00 usiku kuna
mwanaume amekuwa akijipenyeza na kuingia chumbani kulala na mdogo wake
wa kike kisha kuchomoka alfajiri.
Nicholaus alisema kuwa mara nyingi vitendo hivyo hufanyika wikiendi
ambapo katika kuhangaika kumnasa anayemharibu mdogo wake aliwataarifu
OFM ambao waliingia mzigoni na kuweka mtego uliomnasa sharobaro huyo.
Sharo yaani Abuu Ally akijikomiti kulipa faini kwa kosa la kulala na dada wa mtu.
OFM hawakuwa wenyewe kwani walimtaarifu Mjumbe wa Mtaa wa
Maji-Matitu, Hawa Ally kuwa wana kazi eneo lake hivyo akatoa ushirikiano
uliofanikisha kumnasa Abuu.
Ama kweli za mwizi arobaini! Saa 5:11 usiku, jamaa huyo aliingia
chumbani kwa denti huyo na kuanza makeke yake akimfanyia binti huyo
mavituzi.
Waraka
wa kujikomiti wa Sharo alioundika mbele ya mjumbe, Hawa Ally. OFM
walisubiri kwa muda wa robo saa kisha wakaingia ndani ya nyumba hiyo kwa
msaada wa wapangaji na kumnasua binti huyo ili aendelee na
masomo.Sharobaro huyo alikiri kuingia mara kadhaa ndani humo na
kubanjuka na denti huyo.
Baada ya kukiri kosa mbele ya kiongozi huyo wa serikali za mtaa,
pande zote zilikubali kusuluhishwa ambapo Abuu alikubali kulipa faini ya
shilingi laki moja na kupewa muda wa siku moja kutekeleza adhabu hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni