Jumapili, 7 Desemba 2014

HAYA KIPI UNACHOKIPENDA KWA WEMA SEPETU KABLA MWAKA WA 2014 HAUJAISHA



Kipi ungependa Kutoka Kwangu,kabla mwaka 2014 haujaisha?
1=Moyo wangu
2=Tabasamu langu
3=Pendo langu
4=Hadithi nzuri
5=Urafiki wa dhati
6=Muungano na mimi
7=Msamaha
8=Mahusiano
9=Kuchat sana
10=Muda wangu
11=Kwenda kuburudika sehemu na mimi
12=Kuja kunitembelea
13= Kushirikishana maisha na mimi
14=Ushauri
15=Kukupenda

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa