Mwakilishi
Pekee aliyekuwa amebaki katika Kinyanganyiro cha Shindano la Big
Brother Africa Idris amefanikiwa kuwa mshindi wa Shindano hilo
lijulikanalo kama Big Brother Hotshots.
Idris
aliweza kutabiriwa na wadau wengi kuwa angeweza kuibuka mshindi kutokana
na wadau wengi kuvutiwa na staili ya maisha aliyokuwa akiishi katika
nyumba hilo la big brother lililoko huko Afrika Kusini.
Idris amekuwa kivutio kwa raia wa nchini Nyingi sana hususani afrika nzima na kuweza kumpigia kura na hatimaye kuibuka mshindi.
Hongera
Idris umeendelea kuiwakilisha vyema Tanzania mara baada ya siku kadhaa
tu Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Diamond Platmun Kuibuka na Tuzo tatu
za Channel O huko Afrika Kusini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni