Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Mamlaka ya Uwekezaji ya Qatar, Bw. Ahmed Ali Al Hammad na ujumbe wake
kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha akiwa katika ziara ya kikazi nchini
humo Desemba 21, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Mamlaka ya Uwekezaji ya Qatar, Bw. Ahmed Ali Al Hammad na ujumbe wake
kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha akiwa katika ziara ya kikazi nchini
humo Desemba 21, 2014 .
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Mamlaka ya Uwekezaji ya Qatar, Bw. Ahmed Ali Al Hammad na ujumbe wake
kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha akiwa katika ziara ya kikazi nchini
humo Desemba 21, 2014.Kulia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,
Dkt Titus Kamani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni