Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed
Gharib Bilali, akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kikristo wakati wa
sherehe za Kuweka wakfu, Kanisa la Kiaskofu la Roho Mtakatifu Jimbo la
Kondoa zilizofanyika jana Desemba , 2014 Wilaya ya Kondoa Mkoa wa
Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akipongeza na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kondoa,
Bernadin Mfumbusa, baada ya kuzungumza na waumini wa kanisa la kiaskofu
la Roho mtakatifu jimbo la Kondoa jana.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed
Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu na mashekh wa
Wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma baada ya kuzungumza na waumini wa Dini
ya kikiristo jana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni