Muigizaji
wa kike wa Filamu hapa nchini, Wastara Sajuki amesikitishwa na taarifa
za uongo zilizoenea nchini Burundi kuwa alishafariki kwa ajali ya gari.
Kupitia ukurasa wake wa matandao wa INSTAGRAM muigizaji huyo ambaye
aliondoka hapa nchini juzi kuelekea nchini humo kizazi. Mbali na
kuonekana mwenye furaha kwa picha alizoziweka kwenye ukurasa huo akiwa
sehemu za ufukweni (Baadhi ya picha kama unavyoziona hapo chini),
Wastara alikutana na mashabiki wake na taarifa za kuwa walidhani
amekisha fariki ndipo alipozipata.
Hiki ndicho alichokiandika:
Hii
imeniskitisha saana baada ya kukutana na mshabiki.wangu.na kusema
taharifa walizonazo burundi nilishafariki kitambo kwa ajali.shughuli
ilikuwepo nilionekana kma nimefufukia.burundi daah aliyezusha
hivyo.naimani nitamzika yeye kabla yangu kigupi sijafa.maahabiki
wangu.wa burundi.niko.hai.naendelea.kutumikia
taifa.langu.nanyi.pia.Mungu ni.mwema.bado.ananipa.pumzi–Wastara
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni