Licha ya
kuiletea sifa kubwa Tanzania kwa kutwaa tuzo tatu za Channel O, mkali
anayekimbiza katika anga la muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Nasibu Abdul
‘Diamond Platinumz’ amenusurika kuchomwa kisu baada ya kushuka kwenye
gari na kujichanganya na mashabiki wake.
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ akisndikizwa na mashabiki wake kutoka uwanja wa ndege wa Dar es Salaam.
Tukio
hilo la kutishia usalama wa staa huyo lilijiri Mitaa ya Ilala jijini
Dar,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni