Jumanne, 9 Desemba 2014

HII NI BARARABA YA MHORO - LUGARAWA LUDEWA NA CHANGAMOTO ZAKE

 
Hili  ni daraja la mbao lililopo  barabara ya Mhoro - Lugarawa  Ludewa  mkoani Njombe ,idadi ya madaraja ya mbao kama  haya  Ludewa  yameanza   kubaki  Historia  baada ya  jitihada  kubwa  zilizofanyika kwa  kipindi cha 2010 /2014
Hili  ni daraja la Mhoro  Ludewa  lililojengwa  chini ya kiwango na mafundi wasio  wazalendo
Kulia ni daraja  la  sasa ambalo nalo  linajaa maji  juu  wakati wa mvua hivyo uhai  wake ni  mashakani

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa