Jumamosi, 6 Desemba 2014

UTATA MTUPU! WEMA APOSTI PICHA ZAKE NA DIAMOND WALIZOPIGA PAMOJA!



Diamond, Wema & Mama Naseeb
Inaonekana Wema Sepetu wadhungu wanasema 'Never Over it' yaani bado ajamaliza ishuyake na mpenzi wake wa zamani Diamond Platnumz ambaye juzi juzi alimwita kaka kwa ku-share kwenye Official blog yake ya Bestizzo kwa kuweka picha mpya za mchumba wake huyo wa zamani na kushare kwenye Social Network,haijajulikana sababu hasa ya Wema Ku-share picha hiyo wakati event hiyo ilishafanyika kitambo tu tena hata kabla ya msimu mpya wa "In My Shoes" akiwa tayari ameshaachana na Diamond.

Ile StizzoFlava unayoipata kwenye macho yako kupia picha za Bestizzo ndo hii hapa, nimekuwekea picha za Birthday ya Diamond Platnumz zenye #StizzoFlava

Wema #MakeupTime

Wema Sepetu

Wema #Selfie…
Wema #Selfie…

Diamond & Wema…

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa