AJALI
Kampuni
ya usafirishaji ya MOSSES Expres Ambayo safari zake ni LUDEWA KWENDA
NJOMBE Imepata ajaili maeneo ya mpakani kati ya Mbwila na Luana mbapo ni
nje kidogo kutoka wilayani ludewa baada ya gari ya kifusi kuligonga
basi hilo kwa nyuma wakati Basi hilo likitoka Ludewa kuelekea Njombe asubuhi hii ya 8/12/2014. Taarifa za awali zinaonyesha hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo...........
Kwa picha na matukio mengine endelea kufuatilia mhimbilikwetu.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni