Rais
wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakikagua gwaride la
heshima, wakati Rais huyo wa Afrika ya kusini, akiondoka nchini baada ya
kumaliza ziara yake ya siku moja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma, Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere, wakati akiondoka nchini baada ya kumaliza
ziara yake ya siku moja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(kushoto) na Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma wakifurahia burudani
ya ngoma za asili, wakati wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere, Rais Zuma alipokuwa akiondoka baada ya kumaliza ziara
yake ya siku moja nchini.
Picha zote na OMR

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni