Jumanne, 9 Desemba 2014

FILIKUNJOMBE ATIMIZA AHADI YAKE YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI LUDEWA KABLA YA UCHAGUZI MKUU 2015


Hii ni  barabara  kuu ya Ludewa- Njombe ikiendelea  kujengwa kwa  kiwango  cha lami kama ambavyo  mbunge wa  jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe  alivyopata  kuwaahidi  wapiga kura  wake  wakati  wa kampeni  zake  mwaka 2010  kuwa ni kuhakikisha Ludewa  inapata  uhuru  wake  kwa  kuwa na barabara  ya lami baada ya miaka 50  ya  Uhuru  kwa  kipidi anaingia madarakani  wilaya   hiyo kukosa hata  kipande  cha robo km za lami ila
Mwonekana  wa  mji  wa Ludewa  baada ya  kuwekwa lami
Juu ni mwanzoni mwa mji  wa Ludewa
Hili  ni  eneo la Ibani Ludewa kushoto ni nyumbani kwa mbune  wa  jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe hivi  sasa mitaa mbali  mbali ya mji  wa Ludewa  ni lami na  zoezi   linaendelea
Lami  kila  mtaa Ludewa  mpya  baada ya  miaka 50   ya  Uhuru  wa Tanganyika  bila  lami  hivi  sasa wananchi hao  wameanza kuungana na  watanzania   wengine  kwa  kufurahia  uhuru  baada ya  lami  kuanza  kuwekwa katika  wilaya  hiyo zoezi la uwekeji  lami  ni  utekelezaji wa ilani ya  CCM mwaka 2010 na  sehemu ya ahadi mbaya kwa mbunge  wa jimbo la Ludewa  Bw  Filikujombe  iwapo isingetekelezeka hadi  uchaguzi mkuu 2015

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa