Watu
wawili wamenusurika kifo baada ya dereva wa bodaboda kumgonga mtu mmoja
aliyekua akivuka katika barabara ya kawawa kinondoni na kisha dereva wa
boda boda kukimbia kusiko julikana huku abira wake pamoja na mvuka
barabara huyo wakiwa katika hali mbaya.

Tahadhari juu ya
uendeshaji salama vyombo vya moto bara barani umeendelea kupigiwa kelele
kila uchao haswa katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka lakini bado
inaonekana kama hadithi za sungura na fisi .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni