NEWS ALERT:
Basi la
Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali ambayo ilisababishwa na
Dereva wa Basi hilo, Hapa vijana wakiwa wamechukua magazeti wakificha
jina la Basi hilo lisitambulike kwa wale wanaokuja kushuhudia ajali
hiyo, Nia na lengo la kufanya hivyo haijafahamika mpaka sasa.
Lori la
Mafuta lenye namba za Usajiri T332 AGA ambalo Dereva wake Godfrey Lyimo
(33) alikuwa amejeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali kwa matibabu
zaidi, Hapa Lori hilo la mafuta liliwa Limepinduka.
Basi la Mbukio Missio Likiwa limeharibika vibaya kwa mbele baada ya ajali hiyo
Baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia Ajali hiyo
Baadhi ya Abiria , Washuhudiaji pamoja na Askari wakiwa eneo la Mlima Nyoka ambapo ajali ilipo tokea
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni