TUNAJIVUNIA MALI ASILI YETU YA LUDEWA JAPO SOKO NI SHIIIIIIIIIIIIIIIDA SANA!!!!!!
Mzee wa matukio daima akiwa na dagaa wa ziwa nyansa eneo la Ludewa mjini , dagaa kama hawa wote kwa ziwa nyasa ni Tsh 20,000 wakati kwa mijini mfano Iringa dagaa kama hawa huuzwa hadi Tsh 50000 |
Mwandishi wa Chanel Ten Ruvuma Emmanuel Msigwa kulia akiwa na mzee wa matukiodaima mmiliki wa matnado huu wakiwa wameshika dagaa ambazo zilikuwa zikiuzwa, |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni