Mwigizaji wa filamu,mrembo na mwenye mvuto wa kufanya wengi wapagawe,
Elizabeth Michael aka Lulu ambae kwasasa yupo Mjini Bukoba kwa
mapumziko mafupi. Akiwa katika viwanja vya kula bata mjini hapo Lulu
hakusita kuwasifia watu wa kabira la Wahaya kwa njinsi alivyo furahia
GOOD TIME alilopewa na kumfanya afunguke mwenyewe kwenye mitandao ya
kijamii
“Wahaya noma......
Hili Bata la Watu wa Bukoba ni Noumer...! likizo isiishe jamani”
Haikuishiahapo,
alitupia picha nyingi mtandaoni akiwa "SAMUWEA" kama unavyoziona hapo
juu. Lakini hiyo picha ya miguu ndio iliua wengi, kwakuitendea haki
alifunguka.
“Nishawahi kusema naipenda miguu yangu!????
Wallah Naipenda kwa Moyo mmoja
,oky naendelea kuoga hela..kuoga Maji mwisho Dar Es Salaaam...kwa kina
Mutashobya(BUKOBA) ni kuoga Hela tu...!oky bye” Lulu alimaliza.
Picha zote hapo juu. Bongomovies.com inamtakia likizo njema na arejee Dar es salaam salama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni