Jumatatu, 22 Desemba 2014

NEWS ALERT:MHADHIRI WA CHUO CHA TUMAINI TAWI LA MAKUMIRA MBEYA APATA AJALI MBAYA MCHANA HUU, MMOJA AFARIKI


Wakati Leo Mkoa wa Iringa unaadhimisha wiki ya usalama barabarani yenye kauli mbiu maamuzi yako barabarani ni hatima yetu - fikiri kwanza -

MPYA KABISA : :MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA MAGEREZA HAYA HAPA



JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI (Jeshi la Magereza)


Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara, anawatangazia wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na Jeshi la Magereza baada ya kufaulu mitihani ya usaili iliyofanyika kati ya tarehe 10 Desemba, 2014 hadi 17 Desemba, 2014 katika Bwalo Kuu la Maafisa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam pamoja na wale wa Kidato cha Nne na Sita waliosailiwa kutoka Kambi mbalimbali za JKT.

Chuo Kikuu cha Nelson Mandela jijini Arusha chaingia mkataba na kampuni ya Huawei Tanzania



Meneja Uhusiano wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania, Peter Jiang(Kushoto) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Arusha, Profesa Lughano Kusiluka, wakisaini mkataba wa Shilingi Milioni 51 kama msaada wa kuchangia utafiti wa matatizo mbalimbali ya jamii nchini zilizotolewa na Kampuni hiyo mwishoni mwa wiki.

RAHIM STERLING AKABIDHIWA TUZO YAKE


Raheem Sterling is presented with the European Golden Boy award on the pitch before Arsenal clash

Mshambuliaji kinda wa Liverpool, Raheem Sterling akiwa ameshika tuzo yake ya Mwanasoka Bora chipukizi wa Ulaya mwaka 2014 baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Anfield kabla ya timu yake hiyo kumenyana na Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare ya 2-2.

PINDA AKUTANA NA KAIMU OFISA MTENDAJI MKUU WA UWEKEZAJI WA QATAR

PG4A5127
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji ya Qatar, Bw. Ahmed Ali Al Hammad  na ujumbe wake kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014.

PG4A5125
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji ya Qatar, Bw. Ahmed Ali Al Hammad  na ujumbe wake kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014 .

PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR

unnamedWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Qatar baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)unnamed2

RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS JACKOB ZUMA IKULU DAR


unnamed1Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini leo ikulu jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro)

DEREVA WA BODABODA AKIMBIA MARA BAADA YA KUMGONGA MTU MMOJA ALIYEKUA AKIVUKA BARABARA NA KUANGUKA NA KUMUUMIZA ABILIA WAKE


 Watu wawili wamenusurika kifo baada ya dereva wa bodaboda kumgonga mtu mmoja aliyekua akivuka katika barabara ya kawawa kinondoni na kisha dereva wa boda boda kukimbia kusiko julikana huku

AZAM FC YAPANGWA NA EL MERREKH YA SUDAN KWENYE CAF CHAMPIONS LEAGUE


AZAMMMMM

Ratiba ya michuano kombe la klabu bingwa barani Afrika imepangwa leo ambapo mabingwa wa Tanzania Bara na wawakilishi wa Tanzania Bara Azam FC imepangwa kupambana na El Merrekh ya Sudan.
azammm
Ikumbukwe timu hizo zilikutana kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Kagame na El merrekh ilifanikiwa kushinda mchezo huo kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 90 kumalizika kwa timu hizo kushindwa kufungana.
Taarifa zaidi zitafuta………

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI MAJENGO YA TAASISI YA MAFUNZO YA UANASHERIA KWA VITENDO TANZANIA NA HOTUBA YA SCHOOL OF LAW

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tatu kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMUAGA RAIS WA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MOJA NCHINI.

003
Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakikagua gwaride la heshima, wakati Rais huyo wa Afrika ya kusini,

BREAKING NEWS:: WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAKAZI, ANNA TIBAIJUKA AMETENGULIWA RASMI NAFASI YAKE YA UWAZIRI, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO


001

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete amemaliza hutuba yake na Wazee wa Jiji la Dar es salaam na Kumalizia kwa Kumuwajibisha waziri wa Ardhi na Makazi, Anna Tibaijuka kwa kutengua wadhifa wake wa UWAZIRI.mh rais alisema "Waziri Tibaijuka alifanya makosa kimaadili; tumemwomba AnnaTibaijuka apumzike tumteue mwingine!"
Pia Mh Rais amesema kuwa "Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo huyu nimemuweka kwanza kiporo maana bado uchunguzi unafanyika"

Alhamisi, 18 Desemba 2014

AIBU KANISANI LIVE: MWALIMU WA KIKE AUMBUKA VIBAYA SIKU YA HARUSI! SOMA MKASA MZIMA HAPA!

MWALIMU mmoja wa Shule ya Msingi Makurumla iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Maria Samuel Hoza, amejikuta akiaibika vibaya baada ya mumewe, Bryton Muhanje kumkuta akiwa katika hatua za mwisho za kufunga ndoa nyingine kwenye Kanisa Katoliki la Kigogo Luhanga, Jumamosi iliyopita.
 Mwalimu wa Shule ya Msingi Makurumla, Maria Samuel Hoza akiwa katika harakati za kufunga ndoa yake ya pili.

Jumatano, 17 Desemba 2014

KIJUE KIJIJI CHA KIYOGO NA CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO WANANCHI WA KIJIJI HICHO KILICHOKO WILAYA YA LUDEWA MKOA WA NJOMBE

WANANCHI WA KIYOGO WAKIWA KATIKA MKUTANO NA VIONGOZI WAO KATIKA KUPANGA KAZI ZA KIMAENDELEO IKIWEMO NA UJENZI WA SHULE YA MSINGI YENYE UBORA
NYUMBA YA MGANGA ILIYOJENGWA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA KIYOGO IKIWA

FILIKUNJOMBE AFUNGA KAMPENI ZA SERIKALI ZA MITAA KWA KISHINDO LUDEWA MJINI KATIKA VIWANJA VYA SOKO FILIKUNJOMBE AFUNGA KAMPENI ZA SERIKALI ZA MITAA KWA KISHINDO LUDEWA MJINI KATIKA VIWANJA VYA SOKO







AKUTWA AMEKUFA SHAMBANI KWAKE


SERIKALI KUPITIA REA YATOA SHILINGI MILIONI 150 KWAAJILI YA UMEME VIJIJI 19 WILAYANI LUDEWA.

 Maporomoko ya mto Lupali

KWELI DUNIA MAPITO PUMZIKA KWA AMANI DADA FLORA LAZARO MWAIHOJO MAZIKO YAMEFANYIKA ITETE BUSOKELO WILAYANI RUNGWE


MAREHEMU FLORA MWAIHOJO ENZI ZA UHAI WAKE

Jumanne, 16 Desemba 2014

CChachage: PAC, CAG na MEM - Nani Muongo?


"Mheshimiwa Spika, Kamati imepitia Mkataba wa mauzo ya Hisa kati ya Kampuni ya PAP na VIP na kuthibitisha kuwa Waziri wa Nishati na

Kagera kujivunia uwanja wa ndege wa kisasa

Ujenzi unaendelea! Mafundi wakiendelea na ujenzi wa jengo la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kagera.

Waliovuruga uchaguzi wa SM waadhibiwe



Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kutoa tathmini ya matokeo ya awali uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika juzi nchini kote.

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka watendaji wote waliosababisha

Mikataba ya Kimataifa yaisaidia Tanzania katika Hifadhi ya Jamii

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana (kulia) akizungumza katika mkutano wa siku tatu wa kimataifa unaohusu Hifadhi ya Jamii uliotarajiwa kumalizika jana

Katuni ya 'Wakudata' kuhusu 'uchafuzi' wa Serikali za Mitaa

Mvutano wa Winnie na wasimamizli wa mali za Mandela

Winnie Mandela (picha: DailyMail.co.uk)
Winnie Mandela, aliye kuwa mke wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela "Madiba", amekataliwa kurithi mali ya aliyekuwa mumewe huyo, kama

SALAMU ZA CHRISTMASS NA MWAKA MPYA


Mimi na Familia yangu kwa moyo mweupe kabisa tunawatakia heri za Christmas na Mwaka mpya Tuombe Mungu zaidi atuvushe salama tukiwa wenye afya na amani kabisa pamoja na hayo yote tunawaombea wote tusherekee sikukuu kwa Upendo na Amani tele huku tukimshangilia Kristo Yesu Bwana wetu. Amina

HEKA HEKA SERIKALI ZA MITAA KAHAMA CHADEMA YAWEKEWA PINGAMIZI MTAA WA IGOMELO

 Hii ndiyo nyumba ambayo mgombea nafasi ya mwenyekiti  wa mtaa  wa 
MULEBA.
Matokeo ya awali ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Desemba 14,2014, nchini kote, yanaonesha kuwa Chama cha Mapinduzi CCM kinaongoza katika wilaya ya Muleba Mkoani Kagera kwa kupata viti 52 huku CHADEMA kikiwa na viti 32 katika ya vito 166 vinavyowaniwa.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muleba ,Bw Josephat Mkude amesema matokeo hayo yanakifanya Chama cha Mapinduzi kiwe na viti 65 baada ya kupata Wenyeviti 13 waliopita bila kupingwa wakati wa kura za maoni.
Bw Mkude amesema wilaya ina vitongoji 752 na kwamba ukusanyaji wa matokeo unakwenda taratibu ambapo amesema kufikia leo Desemba 15,2014, majira ya Saa 12 jioni zitakuwa zimepatikana takwimu nyingine za matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika kwa amani na utulivu.
Hata hivyo Msemaji wa kambi ya upinzani kupitia Ukawa Bw Hamis Yusuf ambaye ni Katibu wa Chadema

Jumatatu, 15 Desemba 2014

CCM YAJIPONGEZA KWA USHINDA WA ASILIMIA 97 KATIKA WILAYA YA IRINGA VIJIJINI



Jumapili, 14 Desemba 2014

MANCHESTER YNITED YAICHAPA LIVERPOOL 3


Wayne Rooney slides in to join his fellow goalscorers Juan Mata and Robin van Persie after the latter finished off their third against Liverpool

SIMBA YAWASAINISHA WAGANDA WAWILI


seru

Simon Sserunkuma akisaini fomu za Simba
Timu ya Simba imekatisha mkataba na wachezaji wake wawili

Chadema kupinga uchaguzi wa mitaa leo


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Kilimanjaro, kimepitisha azimio la kwenda mahakamani kusimamisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Desemba 14 mwaka huu, hadi hapo Tamisemi itakapotoa haki ya kurejeshwa kwa wapiga kura 517 na wagombea wake 52 walioenguliwa.

Azimio hilo la Chadema la kupinga uchaguzi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, limetolewa wakati zikiwa zimebaki siku nne tu, uchaguzi huo ufanyike nchini kote.

Katibu wa Chama hicho mkoani hapa, Basil Lema, alisema tayari wamemwagiza Mwanasheria wao kuandaa hoja za kisheria kisha kufungua kesi ya kupinga uchaguzi huo leo kutafuta haki ya wananchi na wagombea wa nafasi mbalimbali walioenguliwa, hivyo kuwakosesha kutimiza haki yao ya kikatiba.

Lema avamiwa na ‘UVCCM’, gari yake yasuliwa vioo; alazimika kufyatua risasi tatu hewani kujiokoa!

Gari la Godbless Lema lililovunjwa kioo huko Clock Tower, Arusha
Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema amekubwa na tukio la aina yake maeneo ya Clock Tower Jijini hapa ambapo vijana wanaoaminika kuwa vijana

JUST IN: MGOMBEA CHADEMA ASHINDA UIENYEKITI MTAA WA MIGOMBANI SEGEREA DAR ES SALAAM



Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani Kupitia tiketi ya Chama cha

MAYWEATHER ATHIBITISHA; "NITAZIPIGA NA PACQUIAO MEI 2, 2005"

Floyd Mayweather's has confirmed that he will fight with Manny Pacquiao in 2015

Floyd Mayweather amethibitisha pambano lake na Manny Pacquiao litafanyika mwaka 2015
HATIMAYE bondia Floyd Mayweather Jnr ametaja Mei 2 mwakani kuwa tare he ya pambano lake na Manny Pacquiao.Tetesi juu ya ujio wa poambano hilo la

SIMBA SC YAICHAPA YANGA 2-0 MTANI JEMBE

Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akiwatoka mabeki wa Yanga SC, Kevin Yondan aliyelala chini na Juma Abdul 
Na BIN ZUBERY
SIMBA SC imeendeleza

SIMBA YAINYOA YANGA 2-0, MASHABIKI LUKUKI WAZIMIA UWANJANI


 
Kocha wa Simba, Patrick Phiri akisalimiana na kocha wa Yanga, Marcio Maximo kabla ya mchezo. (Picha zote na
Francis Dande)
Kikosi cha Yanga.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihxA51qcM-p5yCr9qdf7aRDTUlVXp9_FQNyGkeCRnPx02UAsTTv4xDIzBkj7Y_-luarGBGYhECrUa0Nc_k4314y1Ifi6Q5iOfJ5qH69EqmjUPfgrv1KPm6omBiGX7qo_ijA9XtAh5DwLFz/s1600/DSC_0922.JPGKikosi cha YangaEmmanuel Okwi akiomba dua wakati akiingia uwanjani.

MAGAZETI YA LEO JUMAILI TAREHE 14.12.2O14

Jumla ya Mara Iliyotazamwa